Trending News

CCM Adverts and Promo

Monday, April 11, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN HAPA NCHINI. AKABIDHIWA CHETI NA WATU WENYE ULEMAVU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe. Mehd Aghajafari wakatiBalozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo April11,2016, kwenye mazungumzo yao Viongozi hao wamezungumzia suala la kukuzaUshirikiano kati ya Nchi mbili hizi.

Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokeaCheti maalum kutoka kwa Muwakilishi wa Jumuiya ya Watu wenye ulemavu NchiniBibi Stela Jailos kwa ajili ya kutambua mchango mkubwa wa Serikali ya awamu ya5 kwa Watu wenye Ulemavu.(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment